Mzee ambaye jina lake halikupatikana mara moja anaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa akiyaonyesha maji njia ya kupita mtaani kwake, baada ya Mvua iliyokuwa ikinyesha siku nne zilizopita jijini Dar es Salaam.
Maji ambayo bado yametuama baada ya mvua katika eneo la makazi ya watu Jangwani jijini Dar es Salaam.
Mvua zimekatika jijini Dar es Salaam ila maji bado yametuama katika maeneo mbalimbali ya Posta.
Barabara imefungu kutokana na Maji ambayo hayana kwa kwenda kutokana na miundombinu mibovu maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam.(Picha na Avila Kakingo Mtaa kwa Mtaa)
No comments:
Post a Comment