HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 18, 2015

HII NDIO SEHEMU YETU PENDWA KABISA KUFANYIA BIASHARA......

 kamera ya mtaa kwa mtaa na taswirzz mbalimbali za wafanya biashara ndogo ndogo eneo la darajani makunguru jijini mbeya na kujionea jinsi utendaji kazi unavyo piga hatua kwa wafanyabiashara hao kama aonekanavyo mama huyo pichani akiweka sawa matunda bila kujari kilichopo nyuma yake.[picha na mtaa kwa mtaa blog.
wakina mama hawa waliopo eneo la darajani soko lao pendwa wakiwa                                      katika mkao wa kazi kwenye eneo lao la kujidai.
mama sambamba na mtoto mgongoni akipanga biashara yake na hii ni kuhakikisha yeye sambamba na familia wana pata chochote kitu.
"mtake msitake hapa mtakuja tuu.... na machungwa mazuri yote                                                            yanapatikana hapa heheheeeee"
hivi ndivyo palivyo changamka hususani majira ya jioni eneo la kujidai darajani makunguru jijini mbeya.






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad