HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 24, 2015

WAZIRI MAHENGE AFANYA ZIARA KWENYE MACHINJIO JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira, Mh. Binilith Mahenge , akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam leo kabla ya kuanza ziara yake ya Ukaguzi wa Mazingira ya Machinjio, jijini humo na kulia katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Mh. Binilith Mahenge (wa pili kushoto ), akikagua mazingira ya Machinjio ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Mh. Binilth Mahenge (wa tatu kulia), akikagua mazingira ya Machinjio ya Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. (Picha na OMR).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad