Kamera ya Mtaa kwa Mtaa, imeinasa taswira hii ya Mzee wa Feva akiwa kala lifti kwenye Bodaboda huku akiwa ameshikilia kioo, katika eneo la Magomeni jijini Dar.
No comments:
Post a Comment