HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 16, 2015

BERDON MNYAMA KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE ITWAYO JIONEE.

Usiku wa jionee katika uzinduzi wa albamu ya msanii machachari katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya afaamikae kwa jina la Berdon Mnyama juu pichani hivi karibuni katika uzinduzi wa albamu yake iendayo kwa jina la jionee, shoo nzima ilisimamishwa vyema na Radio station zote za jiji la Mbeya ikiwemo Mbeya fm, Sweet Fm, Bomba Fm, Lock Fm, Highland Fm, Dreem Fm na zingine nyingi sambamba mh.Sambee Shitambala na Michuzi Media Group.Picha Zote na Mr.Pengo.
 baadhi ya wadau na wapenzi kinazi wa msanii berdon mnyama wakifuatilia shoo kwa makini.
 zoezi la uzinduzi wa albamu hiyo ikiendeshwa sambamba na mh.Sambee Shitambala ambaye  ni advocate na mNEC.
 mh.Sambee Shitambala ambaye ni  advocate na mNEC ndiye mgeni rasmi akitoa neno baada ya kuzindua rasmi albamu hiyo.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad