Dadazz wa rujewa wilayani Mbarali mkoani Iringa nimewapa dole pia kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali ili kulisaka tonge na kuto dolola kukaa bila shughuli yoyote na kuchakalika kila kona kama kamera ya libeneke lako pendwa la mtaa kwa mtaa ilivyo penya mpaka wilayani humu na kukuletea taswira mbalimbali za dadazz.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) MTAA KWA MTAA BLOG.
mayai yakiingia kunako husika.
wadada na story mbalimbali huku wakiwa katika pilikapilika.
hawa nao wakiwa wametoka shambani na mizigo kichwani stori zikiendelea.
baiskeli zikiwa zime vamiwa kila mtaa kila kona na dadazz hao ili mladi kuwa bize na kuto kaa bila shughuli huku ni mwendo wa kuchakalika tuu hakuna kulala ni kukaza kama nati kwenye taili.
wakina dadaz wengine tupo sokoni kupushi mitumba karibuni sana ubaruku soko kuu huku utatukuta.
wengine waleeeee na vipandwa vyao barabarani.
No comments:
Post a Comment