HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 8, 2015

BODABODA NA MWELEKA.

 Boda boda mitaa mbalimbali kama ilivyo zoeleka kwa madelava wa usafili huo kuwa na ufinyu wa ujuzi na utaalamu katika vyombo hivyo na kusababisha mieleka mbalimbali mitaani kutokana na kunogewa na utamu wa chombo hicho na kutembea kwa kasi hata bila sababu maalumi ya kufanya akimbize chombo hicho ndicho kilicho mkuta mdau huyu mtaani kwetu kwa kupiga mweleke na kumwaga alivyo vipakia kwenye kipandwa hicho.
     mdau akiwa katika harakati ya kunyanyua kipadwa chake huku mwenzie akifikili jambo.
jitihada za kunyanyua kipadwa hatimae zikatimia huku yeye na kipadwa chake wakiwa wamepona na wako salama na kutodhurika sana na mweleka huo kama inavyo julikana chombo hiyo jinsi ilivyo wengana na baadhi ya viungo pindi itakapo kubaini ndugu zangu tunao tumia vyombo hivi tuwe makini sana na tuwe wastaarabu pindi tunapo kuwa mitaani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad