Mzee wa mtaa kwa mtaa bila kuchoka na kuendelea kunasa taswira mbalimbali zinazo tokea mtaani kwako ikabahatika kunasa taswira hizi za daladala namba (640) ikishughulikiwa katika harakati za kuwekwa mguu wa bandia baada ya mguu mmoja wa nyuma upande wa kulia kukata mfupa.
huduma ya kubadirisha mguu ikiendelea katikati ya barabara mtaa wa soweto jijini mbeya
Sunday, April 5, 2015

Home
Unlabelled
DALADALA IKITAFUTA MAGONGO BAADA YA MGUU KUCHOMOKA.
DALADALA IKITAFUTA MAGONGO BAADA YA MGUU KUCHOMOKA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment