Kamera ya libeneke lako pendwa ilifanikiwa kuchukua taswira hii ya roli moja lililo kuwa likipita kuelekea barabara kuu atimae bodi lake kunasa katika nyaya iliyo toka katika nguzo jirani hivi karibuni katika eneo la kirimanjaro tunduma mkoani mbeya. na Fadhiri Atick(Mr.Pengo) globu ya jamii Mbeya.
hapa heka heka ya kunasa kwa roli hilo ikiendelea huku msaada kutoka kwa wakazi wa eneo hilo ukiendelea.
hatimae ilifanikiwa kupenya kwenda ng'ambo ya pili baada ya msaada kutoka kwa wakazi wa eneo hilo la kirimanjaro tunduma mkoani mbeya.
Sunday, April 5, 2015

Home
Unlabelled
ROLI LALAMBA NYAYA YA UMEME KILIMANJARO TUNDUMA.
ROLI LALAMBA NYAYA YA UMEME KILIMANJARO TUNDUMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment