HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 5, 2015

SI WOTE TULIO SHEREHEKEA SIKU KUU YA PASAKA KWA FURAHA.

Mzee wa mtaa kwa mtaa nilijumuika na watoto hawa waliopo Rujewa mbarali kwa kubadilishana mawazo mawili matatu juu ya siku kuu kwa upande wao kiukweli nilisononeka sana jinsi siku kuu hii ilivyo sherehekewa kwa upande wao kuanzia mavazi, chakula hata sehemu ya kujumuika na wenzao kama inavyo fahamika katika siku kama hizi  na kunieleza jinsi walivyo ikosa siku hii kwa kuendelea na shughuli ndogo ndogo kama ilivyo ada kwao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad