Haya sasa kama kawaida yao madereva wa daladala kujipenyeza penyeza kwenye barabara kuu hii sasa ni balaa hii, sehemu iliyo tengwa kwa ajili ya kusimama watu kwa kuvuka kwenda ng'amboo imevamiwa na daladala na wahusika wa hili wanalifumbiwa macho kama halionekani vilee.
moja ya mdau akiwa katika harakati za kuhamia upande wa pili katika eneo la Mafiati jijini Mbeya,lakini wenye haraka zao wakimtia wasi kutokana na kuvamia eneo hilo maalum kwa watembea kwa miguu kuvuka.

No comments:
Post a Comment