Hii kwa sasa ni ajira kabisa kwa baadhi ya vijana mashabiki wa michezo mbalimbali hujipatia kipato, kwa baadhi ya mashabiki wenye bahati zao kutokana na kubeti, hawa ni moja ya vijana miongoni mwao walio jiajiri kwa mtindo huu.pichani ni baadhi ya mashabiki wanazi wa michezo wakichambua nakala kwa ajili ya kubeti kama ilivyo kawaida kwao.
Friday, February 6, 2015
Home
Unlabelled
WAZEE WA MIKEKA A.K.A WAZEE WA KUBETI WAKIWA MZIGONI
WAZEE WA MIKEKA A.K.A WAZEE WA KUBETI WAKIWA MZIGONI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment