Tingo wa mchuma huo pichani akimuelekeza dereva wake katika kinjia chembamba chenYe mtalo pembeni kuajili ya kupakua mzigo uliopo ndani ya mchuma huo.
"kata kuliaaaa,kata sanaaa, kushotooo kidogo, kulia kalii ......chezesha wenge kidoogoo njooo mdogo mdogo, nyoshaaa tuu nyoshaaaa babaa"
"walete baba walete imepenye hiyooooo"

No comments:
Post a Comment