Wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu,wakikatiza kwenye daraja lililowekwa kwa nguzo za umeme baada ya kuona mizengwe inakuwa mingi katika kuwekewa daraja kwa ajili ya kuvukia kwenye eneo hilo.
Thursday, January 15, 2015

Home
Unlabelled
KAMA HUKO NI ZA KUPITITISHIA UMEME,SIE TUMEAMUA KUZIFANYA DARAJA
KAMA HUKO NI ZA KUPITITISHIA UMEME,SIE TUMEAMUA KUZIFANYA DARAJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment