katika pita pita za Mtaa kwa Mtaa Blog,leo imekatiza maeneo ya Msasani na kukutana na mdau huyu aliejitolea kupiga sop sop Mtaro uliokuwa umesheheni uchafu.hii ni bigi apu sana kwa mdau huyu na ni vyema watu wengine wakaiga mfano wake.
No comments:
Post a Comment