Zile sofa kali kali zote katika majumba yetu huku uswazi,zinazalishwa hapa kwenye hii Fenicha senta babu kubwa,hapa unapata fenicha za aina zote kama ionekanavyo pichani.
No comments:
Post a Comment