Katika katiza katiza za Mtaa kwa Mtaa,iliibuka katika moja ya kichochoro na kukutana na watoto hawa wakichanja mbao kama kuni kwa ajili ya kwenda kuandaa pilau la krismas.ila kwa ukaaji huu,sijuiiiiiii......!!
Wednesday, December 24, 2014

Home
Unlabelled
HAWA WATOTO WANA BALAA, LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA HAPA.
HAWA WATOTO WANA BALAA, LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA HAPA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment