HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 24, 2014

MBINU MPYA YA BODABODA JIJINI MBEYA.

Libeneke hili la mtaa kwa mtaa blog lime nasa taswira ya dereva na abiria wa boda boda wakiwa katika harakati ya kupeleka mzigo mtaa wa nanii palee, lakini mbinu iliyo tumika kati ya dereva na abiria ni ya aina yake kana kwamba hakuna bajeti nyingine ya kutoa nauli mara mbili mbili.
 Dereva na abiria wake wakiwa wana yeya mdogo mdogo kuelekea kunako husika huku wakiwa wamejawa na furaha kutokana na ubunifu wao ulivyo fanikiwa.
                     wakiulizana juu ya safari yao kama ni tamati au badobado.
                                    "lazima mzigo ufike huu kwa buku tuu"

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad