HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 14, 2014

Engen Tanzania yawakutanisha wafanyakazi wake pamoja katika Bonanza la Kumaliza Mwaka

Baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya engen wakiwa kwenye picha ya pamoja
Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya engen wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mechi iliyochezwa kwenye sherehe ya kumaliza mwaka
Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya engen wakiendelea kuonesha vipaji vyao vingine kwenye sherehe ya kumaliza mwaka
Ilikuwa sio kazi rahisi uwanjani maana kila mtu alionesha uwezo wake katika mpira wa miguu
Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania wakichukua chakula kwenye sherehe ya kumaliza mwaka watatu kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania,Mubita Akapelwa 
Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania wakila chakula cha pamoja kwenye sherehe ya kumaliza mwaka
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania,Mubita Akapelwa (kulia) akizungumza jambo wakati wa chakula cha mchana 
Hapa ni Happy.......
Wafanyakazi wa kampuni ya mafuta ya engen wakibadilishana mawazo kwenye sherehe ya kumaliza mwaka

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad