HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 29, 2014

PICHA YA HELKOPTA ILIYOPIGA MWELEKA JIJINI DAR LEO NA KUUWA RUBANI NA ASKARI WANNE

Sehemu ya mabaki ya Helkopta aina ya Chopa iliyopiga mweleka mapema leo asubuhi maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam na kuua watu wanne waliokuwemo ndani ya Chopa hiyo hiyo wakiwa ni rubani pamoja na askari watatu.Chanzo cha Chopa hiyo kupiga mweleka bado hakijafahamika mpaka sasa.
Sehemu ya Mashuhuda wakiangalia mabaki ya Chopa hiyo.
Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia ajali hiyo iliyotokea mapema leo eneo la Kipunguni B,jijini Dar es Salaam.Watu wanne wamepoteza maisha kwenye ajali hiyo.Watu hao ni Rubani mmoja na Askari polisi watatu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad