HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 6, 2014

NHIF YAPELEKA MADAKTARI MKOANI MARA, WAWAFANYIA UPASUAJI WAGONJWA MBALIMBALI

Mwakilishi wa naibu mkurugenzi mkuu wa NHIF Bwana Michael Kishiwa (mwenye koti jeusi) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Jakson Msome vifaa tiba, kwa ajili ya matumizi ya hospitali hiyo ya mkoa wa mara.
Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Jackson Msome akitoa neno la shukurani kwa madaktari mabingwa katika siku ya ufunguzi wa huduma hizo katika hospital ya mkoa ya mara.
Mwakilishi wa Kaimu mkurugenzi mkuu akitoa neno kabla ya kukabidhi vifaa tiba kwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mh. Jakson Msome aliyekaa kuli. Kushoto ni Meneja wa NHIF mkoa wa Mara Dr. Mgude Bachunya
Wauguzi wa hospital ya mkoa wa mara wakifatilia kwa makini makabidhiano ya vifaa tiba vilivyokabidhiwa kwa mganga mkuu wa hospital hiyo.
Baadhi ya madaktari bingwa na maafisa wa NHIF waliokwenda mkoani Mara kwa ajili ya zoezi hilo, kutoka kushoto ni Dr. Rogatus (Daktari Bingwa wa watoto) toka hospitali ya Bugando, Dr Albert( bingwa wa usingizi) toka MOI, Dr Tiba (bingwa wa magonjwa ya moyo) toka hospital ya taifa ya muhimbili, Sabina Komba (Afisa uhusiano)toka NHIF makao makuu, sadick Adamu (logistics) toka NHIF makao makuu, Dr Rumanyika( bingwa wa magonjwa ya kinamama) toka hospital ya Bugando. 
Baadhi ya wafanya kazi wa NHIF na Madaktari wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad