Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na mwisho ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano.
Kaimu
Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba (katikati) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichni) katika makao makuu ya NHIF Bendera
Tatu jijini Dar es salaam kuhusu kampeni ya kuhamasisha wananchi
kujiunga na mfuko huo, Kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha
Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti
na kutoka mkushoto ni Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala ya
kiufundi NHIF)
Mkurugenzi
wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),Athman Rehani akifafanua jambo wakati
wa mkutano huo , kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo
ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na Kaimu
Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba.
Kutoka
kulia ni Meneja wa CHF Bw. Costantine Makala, Ali Othman Mkuu wa
kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano,Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen
Mikongoti, Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali
Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba, Athman
Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Mkurugenzi wa masoko
na Utafiti NHIF,Raphael Mwamoto na Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na
masuala ya kiufundi NHIF).
No comments:
Post a Comment