HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 21, 2014

HAYA KAZI KWENU SASA.....

Kamera mani wa Libeneke hili la Mtaa kwa Mtaa aliopo safarini Mkoani Njombe,amebahatika kupita katika eneo hili lililopo katika Mufindi Mkoani Iringa na kutuletea taswira hii mwanana ambayo inaeleza juu shunghuli nzima ya maliwato,ambapo imedadavuliwa kwa kuweka wazi kuwa wakinababa kwenda maliwatoni ni Bure ila kwa wale wengine wanatakiwa kulipa faini tu ya buku tano na kwenda kuchimba dawa porini.hili mnalionaje wandugu?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad