HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 12, 2014

Wawili warudisha fomu Kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashililah akiongea na waandishi wa habari kuhusu kukamilika kwa zoezi la uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum Ofisi kwake leo. Picha na Owen wa Bunge.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad