HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 12, 2014

WATU WALIVYOJIACHIA NDANI YA TAMASHA LA HEINEKEN NYAMA CHOMA JIJINI DAR

Andrew Mahaiga akiwa na rafiki yake katika tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Bongo Fleva, Cpwaa akiwa ndani la tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Millard Ayo akitangaza mshindi wa shindano la Heineken ya kwenda Amsterdam nchini Hollanzi, kulia kwake Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Bw. Uche Unigwe.
Wapenzi wa Heineken wakiburudika ndani ya Nyama Choma festival.
Wapenzi wa Heineken wakiburudika ndani ya Nyama Choma festival.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad