Kikundi cha Brass Band cha Umoja wa Vijana CCM Zanzibar,kikiongoza matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,leo kuanzia Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(wa pili kushoto)akiongoza
Maandamano ua Umoja wa Vijana CCM Zanzibar yaliyoanzia Michweni kelekea
Wete Pemba,leo katika ufunguzi rasmi,Makamo wa Rais wa Zanzibar na
Mjumbe wa kamati Kuu Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM
Taifa Sadifa Juma Khamis,(katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar
Vuai Ali Vuai,na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Dk.Mauwa
Daftari.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akizungumza na
Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar na Wanachama wa CCM Micheweni Mkoa wa
Kaskazini Pemba leo,pamoja na kuyafungua Matembezi ya Umoja huo ya
Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, katika uwanja
wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata, (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
Vijana
wa CCM Zanzibar,UVCCM wakiwa katika Matembezi ya maadhimisho ya miaka
50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,yaliyofunguliwa leo na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(hayupo pichani)yaliyoanzia Micheweni
kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba
Vijana
wa UVCCM wakiwa wamebeba Pich za Viongozi wa Chama katika Matembezi ya
Madhimisho ya miaka 5o ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,(hayupo pichani)kuanzia Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba. Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu.






No comments:
Post a Comment