HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 23, 2013

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...Kwanini wanandoa hutembea nje ya ndoa zao? (Pt II)

   
Karibu katika sehemu ya pili ya kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tunaendeleza mjadala juu KWANINI WANANDOA HUTEMBEA NJE YA NDOA? Wachangiaji studio walikuwa ni Elizabeth Cherehani, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio
KARIBU UUNGANE NASI


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad