HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 19, 2013

Wazee wa Feva wamtembezea kichapo Kondakta wa Daladala mchana wa leo jijini Dar

Katika pita pita ya Mdau katika mitaa mbali mbali jijini Dar leo,alibahatika kulinasa tukio hili la Wazee wa Feva wakimtembezea kichapo Kondakta wa Daladala moja alieleta zereu mbele ya Chombo cha Dola kwa kuwapa maneno machafu wazee wa feva hao.Tukio hili limetokea mchana wa leo katika eneo ya Sinza Mori karibu na sheli ya Mafuta ya GBP. Picha kwa hisani ya mdau wa blogu ya jamii.
Wazee wa Feva wakihangaika kumchukua Kondakta huyo ili waweze kumpeleka Kituoni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad