Wanamitindo 20 waliochaguliwa katika usaili wa Tanzania Top Model uliofanyika hivi karibuni, wataingia leo katika Hotel ya JB Belmont kuanza kambi ya mazoezi itakayo chukua mwezi mzima. Mashindano ya Tanzania Top Model yatafanyika kwa mara ya kwanza nchini 7/12/2013 yakiwa ni moja ya shamra shamra za kusheherekea miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania.
Wanamitindo wanaotazamiwa kuingia kwenye kambi ya Tanzania Top Model leo saa 7 Mchana ni
1. Neema Charles
2. Christiner Christopher
3. Judith Materegi
4. Mariam Joseph
5. Zulfar Bundalla
6. Darline Mmari
7. Nuru Mfaume
8. Lorrain Clement
9. Irene Kasanda
10. Neema Prosper
11. Neema Selei
12. Esther Frederick
13. Gladdys Mollel
14. Eva Mary Gamba
15. Gaudencia Simine
16. Esther Albert
17. Neema Mruma
18. Upendo Lema
19. Mariam Bapii
20. Magreth Kapele
Tunategemea kuwa Wapiga picha na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya habari watahudhuria sherehe za Models hao kuingia katika Hotel ya JB Belmont .
Imetolewa na
Jackson Kalikumtima
Executive Chairman
TANZANIA TOP MODEL AGENCY LTD
DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment