HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 5, 2013

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MBALI MBALI ZA MJI WA DURBAN,NCHINI AFRIKA KUSINI














10 comments:

  1. kaka kama mwanamke umemuonyesha makalio tu,ili takiwa uonyeshe na picha za uswahilini

    ReplyDelete
  2. Hongera kwa picha nzuri, kwani huko kwa wenzetu hakuna foleni, au ulienda Jumapili???

    ReplyDelete
  3. kumbe foleni zipo, nilikuwa sijaona picha ya foleni. Ila pazuri, mjimzuri, umepangwa vizuri.

    ReplyDelete
  4. wenzetu wako juu kwa kuwa wanachopanga wanakimaanisha

    ReplyDelete
  5. Yaani hadi raha kwa wenzetu. kuzuri, sijawahi kufika Ulaya ila J'berg nimefika. Ninaamini hakuna cha zaidi utakachokiona Ulaya kuliko hivi tunavyo viona hapa.
    Big up wazungu walojenga A.S. ndio maana hawataki kuondoka Bwana.

    ReplyDelete
  6. wee dogo wacha mambo yako ya kariakoo, haya tukuone kesho utuwekee picha za uswazi ndani ya soweto wanakoishi ndugu zetu
    wazimbabwe waliomkimbia comrade Mugabe bado wanasota,nasi tunaiboresha bongo kwa miundombinu ya kasi,ukiulizia hayo magorofa mengine wenyewe wamiliki wachache tena wengi wanaishi ughaibuni
    Mikidadi-Denmark

    ReplyDelete
  7. Chezea kwa Zulu Natal wewe, mwaka 1994 Mara ya kwanza nilikuwa pale ndugu nchi ilikuwa inanukia sio ss. Lkn bado nzuri

    ReplyDelete
  8. Ehe ukitaka pia kariakoo itakate walete wazungu,kwani wenzetu sheria ikishatungwa ni lazima ifuatwe,na ukivunja sharia hukumu inapita,kwao sheria haiingiliwi na siasa.Tanzania tunapenda kujirekebishia sheria njiani,na siasa nyingi,vibanda vya machinga kila upande,uchafu kila kona.TUJIREKEBISHE NCHI YETU NI NZURI SANA MAZINGIRA NI BORA.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad