Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco) ipo kwenye utaratibu wa kubadili miundo mbinu yake ikiwa ni pamoja na kubadili nyaya za Umeme katika maeneo mbali mbali hapa jijini Dar,hali hiyo ndio imekuwa ikipelekea kutokea kwa Mgao wa Umeme wa Mara kwa Mara kwa maeneo mengi.Baada ya kusikia hivyo,Kamera ya Mtaa kwa Mtaa iliingia mtaani na kukuna na Mafundi wa Tanesco wakiendelea na kazi hiyo kama waonekanavyo pichani.
Saturday, November 23, 2013
Home
Unlabelled
Mgao wa Umeme Jijini Dar unatokana na hii.....
Mgao wa Umeme Jijini Dar unatokana na hii.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment