HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 14, 2013

Kero ya Maegesho ya Magari eneo la Keko,jijini Dar

Magari yakiwa yamesongamana mtaa wa Kasanga jirani na jengo la Bavaria Keko jijini Dar es Salaam jana na kusababisha kufunga barabara za eneo hilo na kupelekea usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo kutokana na jengo la GMC Heights kujenga maegesho ya magari ambayo yamemega barabara hiyo.Wafanyabiashara wa eneo hilo wamelalamikia sana magari ya wafanyakazi waliopo ndani ya jengo hilo kuwa ndiyo wanayochangia msongamano huo hivyo wameshauri ofisi hiyo ihamishiwe sehemu nyingine kwa kuwa hawana sehemu ya maegesho.
Deva wa gari akiwaelezea waandishi wa habari kero wanazopata katika mtaa huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad