HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 14, 2013

zimebaki siku 3 kupatikana kwa mshindi Mama Shujaa wa Chakula

Tshs. Milioni 5 Kushindaniwa

Kama unamfahamu mkulima yeyote mwanamke, mtanzania, mwenye umri wa miaka 18 na zaidi, anayelima mazao ya chakula, huu ni wakati wako sasa wa kumpa zawadi ya kufungia mwaka.

Kampeni ya Grow inayoendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam kupitia balozi wake Shamim Mwasha (Blogger 8020fashions) inatoa zawadi ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 pamoja na nafasi ya ushiriki katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2013 litakalofanyika sambamba na Maisha Plus.

Mpendekeze ashinde sasa kwa kubofya hapa na kujaza nafasi zote --> surveymonkey.com/s/growtanzania.

Zimebaki siku tatu tu kabla ya shindano kufungwa. Usikubali nafasi hii ikupite.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad