HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 14, 2013

RAIS KIKWETE AWASILI NCHINI SRI LANKA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa ngoma za kitamaduni mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Defue mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM).PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad