HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 13, 2013

Hivi hakuna utaratibu wakuyakausha haya Maji hapa Ilala Karume jijini Dar

Maana maji haya hayana Masika wala Kiangazi,kila siku yapo hapa hapa na watu wanayaangalia tu kana kwamba hawayaoni.

2 comments:

  1. Dogo kweli haya matukio kama haya yanakera saana kila mmoja anjiona kama hausiki na mazingara ni shuhghuri za serikali ndiyo matatizo yetu hata uswazi mtafute wewe mwenyewe "mayor" wetu wa ilala wachana na mbunge yupo bungeni umfungulie hii link

    ReplyDelete
  2. Alafu bado wanadai hela ndogo waongezewe, kwa kazi gani, kwa kujilimbikizia mahela na kufanya uovu wa kuvibaka vitoto

    ReplyDelete

Post Bottom Ad