Maana maji haya hayana Masika wala Kiangazi,kila siku yapo hapa hapa na watu wanayaangalia tu kana kwamba hawayaoni.
Wednesday, November 13, 2013
Home
Unlabelled
Hivi hakuna utaratibu wakuyakausha haya Maji hapa Ilala Karume jijini Dar
Hivi hakuna utaratibu wakuyakausha haya Maji hapa Ilala Karume jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Dogo kweli haya matukio kama haya yanakera saana kila mmoja anjiona kama hausiki na mazingara ni shuhghuri za serikali ndiyo matatizo yetu hata uswazi mtafute wewe mwenyewe "mayor" wetu wa ilala wachana na mbunge yupo bungeni umfungulie hii link
ReplyDeleteAlafu bado wanadai hela ndogo waongezewe, kwa kazi gani, kwa kujilimbikizia mahela na kufanya uovu wa kuvibaka vitoto
ReplyDelete