Mashabiki wa Simba wakiwa wameduwaa huku wakifuatilia mchezo kati ya Simba na Azam FC.
Beki
wa Azam FC, David Mwantika (kulia), akichuana na mshambuliaji wa Simba,
Ramadhani Singano katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam
imeshinda 2-1.
Mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki akiwatoka mabeki wa Azam FC.
Ramadhani Singano (kushoto), akimtoka David Mwantika.
Wachezaji
wa timu ya Azam wakishangilia bao la pili la timu yao baada ya kuifunga
Simba 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyikakwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda
2-1.
Kipa wa Azam FC, Mwadin Ali akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Sino Augustino.
Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher (kulia), akiwania mpira na wachezaji wa Azam FC, Kipre Tchetche na David Mwantika.(Picha na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment