Mwenyekiti wa mtandao wa wanamuziki Tanzania, John Kitime akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku moja ya wanamuziki na wadau wa muziki Tanzania katika kujadili mambo mbali mbali ikiwemo mustakabali mzima na mwenendo wa muziki nchini Tanzania. Warsha hiyo imefanyika leo katika mgahawa wa Nyumbani jijini Dar es Salaam.
Wanamuziki na wadau wa muziki wakifuatilia warsha hiyo.
Mwenyekiti wa mtandao wa wanamuziki Tanzania, John Kitime akitoa maelekezo kwa wasanii na wadau wa muziki waliohudhuria warsha hiyo.
No comments:
Post a Comment