HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 28, 2013

MH. MASELE AFUNGUA MAONYESHO YA MADINI YA KIMATAIFA JIJINI ARUSHA LEO

Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akikata utepe kuzindua mabanda ya maonyesho ya madini ya kimataifa ya vito na usonara leo katika hoteli ya Mount meru jijini Arusha.
Naibu Waziri wa nishati na Madini Steven Masele akiwa katika moja ya banda la Maonyesho la Raia wa Kongo akikagua madini yanayoonyeshwa katika banda hilo.
Masele akikagua banda la kampuni ya GIA ya Afrika Kusini ambayo imekuwa ikihusika na kutoa elimu kuhusiana na madini katika nchi za Afrika.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akielekea kutembelea mabanda ya maonyesho katika viwanja vya hoteli ya Mount meru, kulia kwake ni Mwenyekiti wa maandalizi ya maonyesho hayo, Peter Pereira 5Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa maonyesho ya kimataifa ya madini na usonara yanayofanyika jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru leo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele akihutubia mara baada ya kuzindua mabanda ya maonyesho ya madini ya kimataifa ya vito na usonara leo katika hoteli ya Mount meru jijini Arusha.
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya madini ya kimataifa wakimsikiliza Naibu waziri wa Nishati na Madini Steven Masele (hayupo pichani), katika viwanja vya hoteli ya Mountmeru leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad