
Zikiwa
zimesalia siku tano tu za wenye nyumba zilizopo kandokando ya barabara
wilayani hapa kubomoa nyumba zao kwa hiari, kamera yetu imenasa picha
zikionesha jinsi wakazi wa makete mjini wakiendelea kubomoa nyumba zao
kupisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Makete mjini.(Picha na Edwin Moshi wa globu ya jamii, makete)


No comments:
Post a Comment