Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimsikiliza kwa makini Balozi wa Uholanzi nchini, Jaap Frederiks wakati walipokuwa wanajadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya yake na Tanzania. Balozi huyo alimtembelea Waziri Nchimbi ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimshukuru Balozi wa Uholanzi nchini, Jaap Frederiks kwa kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kwa lengo ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya wizara yake na Nchi ya Uholanzi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:
Post a Comment