Meneja
Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji
mshindi wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw.
Khalid Shabani katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini
Dar es Salaam.
Washindi wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ (kutoka kushoto) Bw. Sande Juma, Tito Mkude na
Iddi Zonki wakikagua Bajaji walizokabidhiwa kutoka kwa kampuni hiyo ya
simu katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es
Salaam.
Meneja
Chapa wa Tigo, Bw. William Mpinga akihojiwa na Waandishi wa Habari
katika hafla ya makabidhiano ya washindi wa promosheni 'Miliki Biashara
Yako' iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment