HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 8, 2013

Kutokuwa makini kwa waendesha boda boda hapa nchini,kwaendeleza majanga kwao

Hii imetokea jana katika Barabara ya Mwai Kibaki jijini Dar ambapo hiyo Boga Boda ilikuwa ikipita upande wa kulia kutokea kwa Mwalimu kuelekea kawe,kwasababu ya kukosa umakini barabara,alijikuta akiiva Gari hiyo ya upande wa kulia ambayo ilikuwa ikikatisha kuelekea upande huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad