Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo (kushoto) akitoa maenezo ya huduma mbali mbali zinazorushwa na Televisheni yao ya DStv pamoja na huduma ya soka katika msimu mpya wa ligi mbali mbali Duniani mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) leo kwenye ukumbi wa Mikutano ya Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.Wengine pichani toka kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo,Furaha Samalu,Meneja Mauzo,Salum Salum pamoja na Meneja Uhusiaono wa Kampuni hiyo,Barbara Kambogi.
Meneja Masoko wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Furaha Samalu (kushoto) akifafanua jambo mbele ya mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) leo kwenye ukumbi wa Mikutano ya Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.
Meneja Uhusiaono wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi akieleza ubora wa huduma hivo mpya.
Sehemu ya Waandishi wa Habar toka vyombo mbali mbali wakifatilia mkutano huo.






No comments:
Post a Comment