Afisa mwandamizi wa mafao katika mfuko wa NSSF Mkoa wa Morogoro Adolfrida Mulokozi akitoa elimu ya faida ya mfuko huo kwa wanachama wapya ndani ya viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere maarufu Nanenane nje kidogo ya Mji wa Morogoro pembeni ni mwenye T-shirt ya kijani ni mkuu wa idara ya uhusiano NSSF Taifa Eunice Chiume.
MKUU
wa idara ya Uhusiano NSSF Taifa Eunice Chiume (mwenye t-shirt ya
kijani) akisikiliza malezo yanayotolewa kwa mmoja wa wanachama wa mfuko
huo na Afisa mfawidhi Matekelezo NSSF Mkoa wa Morogoro Christopher
Msagati Katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere maarufu Nanenane nje
kidogo ya Mji wa Morogoro.

No comments:
Post a Comment