Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Rais Mstaaafu wa Zanzibar alhaj Dk.Amani Abeid
Karume, baada ya futari aliyowaalika wananchi katika viwanja vya Ikulu
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akiagana na wananchi katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja leo
usiku,baada ya futari aliyowaalika katika mwezi huu wa Ramadhan
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkwe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na wananchi katika viwanja
vya Ikulu Mjini Unguja leo usiku,baada ya futari waliyowaalika katika
mwezi huu wa Ramadhan.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa tatu kulia) akiwa na Viongozi wakati wa futari aliyowaalika
katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni.
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(wa pili kulia) akiwa na
Viongozi akina mama wakati wa Futari aliyowaandalia katika viwanja vya
Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi
ya Akina Mama walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,leo usiku katika viwanuja vya
Ikulu Mjini Zanzibar
Wananchi
mbali mbali wa Manispaa ya Mji wa Unguja,waliohudhuria katika futari
iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Wananchi
mbali mbali wa Manispaa ya Mji wa Unguja,waliohudhuria katika futari
iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:
Post a Comment