Mwenyekiti wa chama cha wanasheria wanawake Tanzania TAWLA Bi.Aisha Zumo Bade (wa tatu kutoka kushoto)akiwa pamoja na Wanasheria wenzake wakiwa tayari kuwapatia futari watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha MWANA OPHANS CENTRE wapatao 80,Kilichopo vingunguti Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam,ambapo zoezi hilo lilienda sambamba na kukabidhi msaada wa vifaa venye thamani ya Shilingi Milion 2,600,000.
Mwenyekiti wa TAWLA Aisha Zumo Bade akimpatia futari mmoja wawafanyakazi wa TAWLA kwa ajili yakuwapatia watoto wa kituo cha MWANA OPHANS CENTRE, Kilichopo vingunguti Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam,Kwa ajili ya MFUNGO WA RAMADHANI.iliondaliwa na Tawla.
Watoto wa kituo cha MWANA OPHANS CENTRE, wapatao 80 Kilichopo vingunguti Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam wakifuturu futari ilioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania TAWLA.
Mwnasheria,Nasieku Kissambu akipata futari pamoja na watoto wanaolelewa na kituo hicho,ilioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania TAWLA.
Mwenyekiti wa TAWLA Aisha Zumo Bade akimlisha futari mmoja wawatoto wa kituo cha (MWANA OPHANS CENTRE) Kilichopo vingunguti jijini Dar es salaam mara baada yakuwatembelea watoto hao kwa ajili ya mfungo wa Ramadhani,ilioandaliwa na chama chama Wanasheria wanawake Tanzania Tawla.
Wafanyakazi wa chama chama Wanasheria wanawake Tanzania Tawla.wakishusha badhi ya vyakula na vifaa mbalimbali kwenye kituo cha kulelea watoto yatima cha (MWANA OPHANS CENTRE) Kilichopo vingunguti jijini Dar es salaam mara baada ya kuwasili.waliosimama wakwanza kutoka kulia Bi,Nasieku Kissambu.na wapili kutoka kulia anaeandika,Bi Tike Mwambipile.wote ni viongozi kutoka Tawla.
Mwenyekiti wa TAWLA, Bi Aisha Zumo Bade (katikati)mjumbe wa Halmashari kuu Tawla,Bernadetha Mkandya(wakwanza kushoto)wakimkabidhi moja ya vifaa Mlezi wa kituo cha kulelea Watoto yatima cha (MWANA OPHANS CENTRE)Bi,Sada Omariy Kilichopo vingunguti jijini Dar es salaam mara baada ya baada ya kufutulisha.
Wafanyakazi wa Chama cha wanasheria wanawake Tanzania TAWLA wakipata futari kwa ajili ya mfungo wa Mwezi wa Ramadhani baaada ya kutembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha (MWANA OPHANS CENTRE) Kilichopo vingunguti jijini Dar es salaam.

No comments:
Post a Comment