HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 5, 2013

Naibu waziri wa maji afanya ziara kutembelea miundombinu ya maji Same

Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akisalimiana na wafanyakazi wa mamlaka ya maji wilaya ya Same akiongozwa na mkuu wa wilaya hyo Dk. Herman Kapufi.
Naibu waziri dK mahenge akitazama moja ya vilula kwa ajili ya maji katika kijiji cha Vunta wilayani Same.
Naibu waziri Dk Binilith Mahenge akitembelea vyanzo vya maji pamoja na tanki la kuhifadhi maji katika kijiji cha Miombo wilani Same.
Naibu wa ziri Dk Binilith Mahenge akitizama maendeleo ya ujenzi wa tanki la maji katika kijiji cha Miombo wilayani Same ambalo kukamilika kwake kutawezesha kuhifadhiwa maji kwa ajili ya wakazi wa kijiji hicho.Picha na Dixon Busagaga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad