Wadau wakuu wa Libeneke tetu hili la Mtaa kwa Mtaa,Jahhu Mohamed Kessy na Bi. Asmah Makau mwishoni mwa wiki,walifanikisha zoezi zima la Kumeremeta kwao huko Jijini Tanga.(Daahh...!! nimeukosa mnuso huu,roho inaniumaaaaa... kweli).hivyo basi hatuna budi kuwaombea na kuwatakia kila la kheri katika maisha yao mapya katika ndoa.
Monday, July 1, 2013

Home
Unlabelled
Mdau Jahhu Mohamed Kessy na Bi. Asmah Makau walivyo meremeta na kuwakawaka huko jijini Tanga
Mdau Jahhu Mohamed Kessy na Bi. Asmah Makau walivyo meremeta na kuwakawaka huko jijini Tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment