HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 1, 2013

Cheza Cheza Bila kukunja Goti: AY,FA na J. Martin ni moto wa kuotea mbali

Wakali wa Muziki wa Bongo Fleva,Hamis Mwinjuma a.k.a Binamu (shoto) na Ambwene Yessaya a.k.a AY wakiwa na Mkali mwenzao toka nchini Nigeria,J. Martin wakati walikuwa studio kurekodi ngoma yao kali na iliyoanza kushika kasi hapa nchini inayofahamika kama BILA KUKUNJA GOTI.hebu bofya kitufe hapo chini kusikiliza ngoma hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad